Matumaini ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki za kutumia sarafu
moja yanaendelea kuongezeka baada ya nchi hizo kuzindua mradi
wa kuwawezesha wananchi wa nchi hizo kutumia fedha za nchi
zao kununua bidhaa katika nchi nyingine bila kulazimika
kuzibadililsha .




0 comments:
Chapisha Maoni