Jumanne, Machi 11, 2014

ILE NDEGE ILIYOTOWEKA ANGANI BADO HAIJAPATIKANA WALA HAKUNA DALILI JAPO INATAFUTWA BADO

Juhudi za kutafuta ndege aina ya Boeing 777 ya Malaysia Airlines iliopotea usiku wa Ijumaa kuamkia Jumamosi ikiwa na abiria zaidi ya 200 zimeendelea kushika kasi katika eneo la kisiwa kilichopo nchini Vietnam ambapo inashukiwa huenda mabaki ya ndege hiyo yakapatikana katika eneo hilo.

0 comments:

Chapisha Maoni