Jumanne, Machi 11, 2014

KANUNI ZA BUNGE LA KATIBA ZAPITISHWA

Wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba wapitisha kwa pamoja kanuni za kuliongoza bunge hilo. Mchungaji Mtikila awa mbogo kwa Mwenyekiti wa Muda Pandu Kificho, alalamika kutopewa nafasi ya kuzungumza.
Uchaguzi wa mwenyekiti wa kudumu kufanyika kesho saa kumi jioni, Fomu za kugombea nafasi hiyo kutolewa leo ofisi za Bunge.

0 comments:

Chapisha Maoni