Jumatatu, Februari 24, 2014

ROONEY NDIO MCHEZAJI ANAYELIPWA ZAIDI DUNIANI

Rooney ametajwa kua mchezaji anayelipwa zaidi £300,000 kwa wiki, kwa pesa za kibongo ni zaidi kidogo ya sh. milioni mia 800 kwa wiki. Kujua ya mwezi nadhani hautoshindwa
Ni kiasi kikubwa sana cha pesa na ni zaidi ya anavyolipwa Ronaldo, Zlatan na Messi wanaodhaniwa kua na uwezo zaidi ya Rooney.

0 comments:

Chapisha Maoni