Jumatano, Februari 19, 2014

MWANAMKE ENDAPO UTAMUULIZA MWANAUME WAKO MASWALI HAYA NI LAZIMA UDANGANYWE! KAA CHONJO

1. UNANIPENDA?
Jibu sahihi kwa swali hili kutoka kwa mwanaume ni ndiyo.

2.UNAFIKIRI NINI?
Jibu analoweza kujibu mwanaume ni kumwambia mpenzi wake, ''samahani kwa ukmya, nilikuwa nafikiria ulivyo mzuri mpenzi wangu, mcheshi na mwenye fikra njema.

3. UNADHANI MWANAMKE YULE NI MREMBO KULIKO MIMI?
Neno yule, katika mapenzi, mwanamke anaweza kuwa anamaanisha mpenzi wa zamani au aliyekuwa akimtazama sana muda uliopita.

Kwa vyovyote vile, jibu sahihi ni hapana, wewe ni mzuri sana au nilikuwa nawaza mambo mengine.

4. UTAFANYA NINI MIMI NIKIFA?
Jibu sahihi ni kwamba'' maisha yatabadilika sana kwangu na kuwa mabaya na hapo nitatamani nijirushe hata kwenye gari nami nife nikufuate''

Maana mwanaume akisema kuwa ukifa ataoa mwanamke mwingine, mwanamke anaumia...

5.NIMEPOTEZA MVUTO?
Mwanaume atakujibu hapana...

Mwanamke kuwa mwangalifu kumuuliza maswali mwenza wako, mwishoni utaishia kulia.

0 comments:

Chapisha Maoni