Jumatatu, Januari 27, 2014

GIZA ANGA LA UIGIZAJI TANZANIA!!! MWIGIZAJI NGULI WA MAIGIZO YA VICHEKESHO AFARIKI DUNIA

Habari zilizotufikia hivi punde kutokea jijini Mwanza, ni kuhusiana na kifo cha msanii wa vichekesho nchini maarufu kwa jina la Mzee Dude  kutokea katika kundi la sanaa maarufu kama Futuhi ambalo huonyesha maigizo yao kupitia kituo cha televisheni ya nchini hapa Star Tv.

0 comments:

Chapisha Maoni