Jumatatu, Januari 27, 2014

BBC WAPOTEZA MWANAHABARI WAO MWINGINE, NI ANNE WAITHERA WA KENYA



MWANDISHI wa BBC kutoka nchini Kenya, Anne Waithera amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu akisumbuliwa na maradhi ya saratani. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi!

0 comments:

Chapisha Maoni