Alhamisi, Oktoba 17, 2013

VIJANA NA PICHA ZA NGONO

Halo halo, vipi mambo, hamjambo? Leo kuna hoja hii ya VIJANA NA PICHA ZA NGONO na ningependa tuiijadili utafiti huu uliofanywa uingereza na ambavyo unatuathiri sisi jamii ya Afrika Mashariki.....

SITA KATI YA VIJANA 10 NCHINI UINGEREZA ..... walnaema kuwa hutumia simu zao za mkononi kujipiga picha au kunasa video wakiwa katika vitendo vya ngono na karibu robo yao walimtumia mtu picha hizo kwa njia ya SMS au ujumbe mfupi...........
MAMBO HAYA PIA YAMESHUHUDIWA KWENYE MITANDAO YA HUKU KWETU AFRIKA MASHARIKI WASANII WETU VIJANA TU WAKITUMA PICHA ZAO WAKIWA UCHI ILI KUPATA UMAARUFU!!!!! MAMBO HAYA YAMETOKA WAPI? NA NANI ANAWEZA KUDHIBITI MATUMIZI YA SIMU KWA VIJANA?

0 comments:

Chapisha Maoni