Tunafuraha kutangaza ufunguzi wa safari zetu mpya kati ya Dar es Salaam na Mbeya!
Tumepata maombi mengi sana kutoka kwa wateja wetu kuhusu safari za wenda kituo hiki, tunapenda kuishukuru serikali, mamlaka ya anga, na watu wote wanaohusika katika kuboresha uwanja wa ndege wa Songwe kwa kufanya ndege yetu aina ya Airbus A319 kutua salama.
Fastjet itakuwa ikipaa kati ya Dar es Salaam na Mbeya mara 3 kwa wiki, safari ya kwanza itakuwa tarehe 1 Novemba. Nauli zinaanzia tsh 32,000 (bila gharama ya kodi). Tembelea ww.fastjet.com ili kupata bei zetu za chini kabisa – Kadiri utakavyowahi kufanya maandalizi ya safari yako ndivyo utakavyopata bei ya chini! Pia unaweza kulipia tiketi yako kupitia simu yako ya mkononi au katika ofisi zetu za mauzo.
We are proud to announce the launch of our new domestic route between Dar es Salaam and Mbeya!
We’ve had a huge demand from customers to launch this route, so would like to thank the government, airport authorities, and all the people involved in making the necessary improvements to Songwe airport which has enabled our Airbus A319s to land safely.
fastjet will be flying between Dar es Salaam and Mbeya 3 times a week, with the first flight taking off on 1st November. Tickets will start from just TSh32,000 (excluding tax and charges). Visit www.fastjet.com and book your ticket today - the earlier you book, the lower your fare! Alternatively, you can book through mobile or at our fastjet sales offices.
0 comments:
Chapisha Maoni