Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, amesema kuwapo kwa chuki katika misingi ya imani ya dini nchini ni kitu cha hatari na ikiendelezwa pasipo kuchukuliwa tahadhari inaweza kuiingiza nchi katika machafuko.
Amewataka Watanzania hususani vijana kuwa waangalifu juu ya chuki inazotokana na imani za dini na kueleza kuwa inapaswa kudhibitiwa na kukemewa kwa nguvu kabla hazijaleta madhara.
Sumaye ameyasema hayo jijini Dar es Salaam katika kanisa la Nchi ya Ahadi wakati akitoa mada kuhusu namna ya kutunza amani ili idumu kizazi kimoja hadi kingine.

0 comments:
Chapisha Maoni