MASKANI
HABARI
MICHEZO
BURUDANI
AFYA
MAHUSIANO
MAGAZETI
AUDIO
VIDEO
MAWASILIANO
FICHUO
Jumatatu, Agosti 26, 2013
DILLISH MATHEWS MSHINDI WA BIG BROTHER AFRICA 2013
Agosti 26, 2013
BURUDANI
No comments
Dillish Matthews kutoka nchini Namibia amejishindia zaidi ya shilingi milioni 480 (300,000 usd) baada ya kuibuka mshindi wa Big Brother The Chase 2013.
Dillish amewabwaga washiriki wenzake wanne Beverly, Melvin, Cleo na Elikem alioingia nao tano bora. Wa kwanza kutolewa tano bora alikuwa Beverly akifuatiwa na Melvin baadaye akafuata Elikem na kuwaacha Dillish na Cleo wakichuana kutafuta mshindi wa dola 300,000 za Kimarekani. Hatimaye Cleo naye aliondolewa katika kinyang'anyiro hicho na kumuacha Mnamibia Dillish akiondoka na kitita cha zaidi ya milioni 480 na kuwa mshindi wa Big Brother Season 8 The Chase 2013.
Tuma Hii kwa Barua pepe
Blogu Hii!
Chapisha kwenye X
Shiriki kwenye Facebook
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
0 comments:
Chapisha Maoni
FICHUO KATIKA FACEBOOK
HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI
MWANAMKE JANJARUKA!!! HAYA NDIO MADHARA YA KULALA NA CHUPI
WAtaalam wa magonjwa ya kina mama na watoto wamebainisha madhara ambayo yanaweza kuwapata kina mama na wasichana wenye tabia ya kuvaa nguo...
MAANA YA HERUFI ZA MWANZO ZA MAJINA YENU
A; Haraka, Pupa ya Maisha Wenye jina linaloanza na herufi ”A” ni Watu wanaopenda mambo makubwa, Wanajiamini, na wenye uwezo wa kutim...
PASSPORT ZA KUSAFIRIA KUBADILISHWA
IDARA ya Uhamiaji inatarajia kubadilisha pasi za kusafiria zitakazokuwa na alama zaidi za utambuzi. Akizungumza katika banda la idara hi...
GAZETI LA MAWIO LAFUNGIWA!!!
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, imetangaza kulifungia gazeti la Mawio linalochapishwa na kampuni ya Vict...
TAZAMA VIDEO YA BINTI ALIYEKUWA AKUTUMIA UUME BANDIA NA KISHA KUDUMBUKIA WOTE SIRINI NA KUTOLEWA HOSPITALINI
Inaendeshwa na
Blogger
.
MR. FICHUO KATIKA TWITTER
Tweets by YohanaMwambene
TULIYONAYO
HABARI
BURUDANI
MICHEZO
AFYA
MAPENZI
VIDEO
TRACKS
MAGAZETI
KUHUSU SISI
FICHUO
Tazama wasifu wangu kamili
0 comments:
Chapisha Maoni