Jumatatu, Agosti 26, 2013

BALAA!!! UMOJA WA MAKAHABA DAR WATOA BEI ZAO ZA KUTOLEA HUDUMA

Uchunguzi wa mwandishi wetu umebaini kuwa umoja huo unaitwa UMADA (Umoja wa Makahaba Dar).Katika makubaliano yao, kuna mambo ya kushangaza ikiwa ni pamoja na kujipangia bei ya pamoja na kupanda kwa kasi ya ajabu kwa bei ya huduma inayotolewa na wanawake hao sehemu mbalimbali jijini Dar huku watakaojiuza bei chee wakiambiwa watakiona.Maeneo ambayo yalifikiwa na kupewa utaratibu wa huduma ni kama ifuatavyo;Maeneo ya Jolly Club, Upanga, Dar ilibainika kuwa fastafasta ni Sh. 30,000 na kulala usiku kucha ni Sh. 100,000.Maeneo ya Afrika Sana, Sinza, Club Sun Cirro, Ubungo na Club Meridian, Kinondoni, huduma ya fastafasta ni Sh. 10,000 na kulala ni 40,000.Maeneo ya New Maisha Club, Masaki ni kati ya dola 50 (Sh. 80,000) kwa fastafasta na dola 100 (Sh. 160,000) kulala kwa Mzungu na kwa Mswahili ni Sh. 50,000 kwa huduma ya haraka na Sh. 100,000 kulala.Maeneo ya Meeda Club, Sinza kuna huduma ya fastafasta tu ambayo hutolewa kati ya Sh. 5,000 had 10,000 huku huduma ya kulala ikifutwa kwenye bajeti ya mwaka huu kwani eneo hilo wapo wengi hadi wanaovaa kandambili.Huko Uwanja wa Fisi huduma hupatikana kuanzia Sh. 500 hadi 5,000 huku maeneo ya Buguruni ikianzia Sh. 2,000 hadi 10,000.Katika massage centers (maduka ya kuchua mwili), ilibainika kuwa bei ni kati ya Sh. 50,000 hadi 100,000 kutegemea na kiwango cha mrembo.Ilifichuka kuwa kwa wale wa maofisini wanaojishughulisha na biashara hiyo kwenye vituo vya ‘masaji’, bei ni kuanzia Sh. 100,000 kwa siku nzima na ni warembo wa haja.Huko Temeke, Dar ilibainika kuwa wapo hadi wa Sh. 200 huku wale wa vyuo mbalimbali wakianzia Sh. 5,000 hadi 15,000 ambao wengi hupatikana klabu za starehe usiku hasa ‘boom’ likikatika. Kwa wale wa vyuoni ilibumburuka kuwa mwanaume akiwa na gari ana uwezo wa kumchukua yule anayemtaka bila kipingamizi.Katika mahojiano na mwandishi wetu, baadhi ya wanawake hao walifunguka kuwa wamefikia hatua hiyo ya kupandisha bei maradufu kwa sababu kila kitu kimepanda bei kuanzia mavazi, sabuni, vipodozi na nauli hivyo nao ili kuboresha huduma lazima bei ipande.Mtandao huu unakemea vikali bishara hiyo haramu na kuviomba vyombo husika kuingilia kati ili kuikomesha.

0 comments:

Chapisha Maoni