LICHA ya kunaswa katika matukio tofauti, Wema Sepetu hasikii. Safari hii imenaswa picha inayomuonesha akimshushia busu motomoto jamaa anayefahamika kwa jina la Rommy Jonson.

Picha
hiyo ambayo inamuonesha Wema akiwa anambusu jamaa huyo katika pozi
lenye hisia kali za kimalovee, imenaswa juzikati katika mtandao wa
kijamii wa Instagram ambapo wadau mbalimbali walioiona kwa mara ya
kwanza, walitoa maoni yao.
“Mh! Jamani Wema sasa amezidi hata huyu naye? Kama ni picha ya kawaida kwa nini aoneshe hisia za kimalovee kiasi hiki? Kuna kitu,” alihoji mdau mtandaoni ingawa Wema hakujibu chochote.
- See more at:
http://williammalecela.blogspot.cz/2013/08/je-wema-sepetu-na-rommy-jonson-ambae-ni.html?spref=fb#sthash.ZG3Z0A6o.dpuf“Mh! Jamani Wema sasa amezidi hata huyu naye? Kama ni picha ya kawaida kwa nini aoneshe hisia za kimalovee kiasi hiki? Kuna kitu,” alihoji mdau mtandaoni ingawa Wema hakujibu chochote.

0 comments:
Chapisha Maoni