Jumatano, Machi 15, 2017

SERIKALI YA KENYA NAYO YAZUIA MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI

Serikali ya Kenya imepiga marufuku utumiani, utengenezaji na uagiziaji wa mifuko ya plastiki. 
Waziri wa mazingira na mali asili Judi Wakhungu amesema kupitia agizo rasmi kwamba miezi sita kuanzia sasa mifuko hiyo itaacha kutumika.

0 comments:

Chapisha Maoni