Rais wa Marekani Donald Trump ametaka kuchunguzwa kwa uwezo wa utumiaji mafuta wa vyombo vya moto ambao nchini humo.
Akizungumza
na wafanyakazi wa kiwanda cha kutengeneza magari cha Michigan, Motor,
Trump amesema serikali itakisaidia kiwanda hicho ili magari hayo
yatengenezwe tena kwa wingi Marekani.
Kiwanda kicho kimemtaka
Trump kuangalia tena sera ya uzingatiaji kiwango cha utumiaji mafuta kwa
magari ikiwa ni kilomita 23 kwa lita moja.
Mkuu wa kitengo cha
kutunza mazingira Marekani Scott Pruitt amesema viwango vya sasa
vinaumiza makamouni mengi na hata wakarekani kwa ujumla.
0 comments:
Chapisha Maoni