Mke wa Rais mkongwe wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amewashangaza wengi baada ya kusema kuwa mumewe anapendwa sana na raia wa Zimbabwe na kwamba anaweza kupigiwa kura hata akiwa maiti.
Bwana Mugabe, ambaye atakuwa na umri wa miaka 93 mnamo Jumanne, ametangaza mara kadhaa kuwa atagombea kiti cha Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.
Grace Mugabe ana mika 53 na aliambia mkutano wa chama tawala cha ZANU-PF kuwa hata mumewe akifariki, bado jina lake litawekwa kwenye karatasi za kupiga kura.

0 comments:
Chapisha Maoni