Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli
ameahirisha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Muungano na badala yake
akawataka Watanzania waiadhimishe wakiwa majumbani au wakiwa katika
shughuli zao binafsi. Siku hiyo huadhimishwa tarehe 26 Aprili kila mwaka.
0 comments:
Chapisha Maoni