Hili ni gari lililotengenezwa kutokana na mti na seremala Peter Szabo, kutoka Hungary.
Linaweza kwenda mwendo wa maili 55 kwa saa na lilimchukua miaka mitatu kutengenza likigharimu dola 20,000 za kimarekani.
Jina la gari hili ni Julia, lina muziki na pia mataa yake ya kisasa yanaweza kuwashwa kwa kutumia simu.
0 comments:
Chapisha Maoni