Rais wa Marekani Barrack Obama anamtaja mgombea wa kiti cha urais kwa
tiketi ya chama cha Republican Donald Trump, kama mtu asiye ufahamu
wowote wa sera za kigeni na ulimwengu kwa jumla.
Rais Obama ameyasema hayo baada ya Donald Trump kusema kuwa wanajeshi wa Marekani wanafaa kuondoka Japan na Korea Kusini, na mataifa hayo yanafaa kutengeneza zana zao za kinyuklia

0 comments:
Chapisha Maoni