Jumamosi, Machi 26, 2016

ZIJUE ALAMA 5 MPYA ZA BARABARANI

Dereva Makini Tanzania ilipata muda wa kuelimishwa kuhusu alama 5 mpya za barabarani ambazo zilizinduliwa katika wiki ya nenda kwa Usalama mwaka jana.
Alama hizo ni zile zinazokujulisha kuwa sasa unaongia eneo la:-
- Walemavu wa ngozi (Albino)
- Walemavu wa akili
- Walemavu wa masikio (viziwi)
- Walemavu wa viungo
- Walemavu wa macho (Wasiyo ona)

1 comments:

  1. Hii nimependa sana hasa kuona picha na maneno yake. Mbarikiwe sana kwa kuzidi kutupatia elimu.

    JibuFuta