Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa leo atakuwa Mkoani Kagera kwa ziara ya siku mbili katika wilaya za
Misenyi,Bukoba, Karagwe na Ngara yenye lengo la kukagua na kuzindua
miradi mbalimbali ya maendeleo. Lakini pia Waziri Mkuu atatembelea
maeneo yenye migogoro ya ardhi ya muda mrefu ili kuitafutia ufumbuzi.
0 comments:
Chapisha Maoni