Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amempa Katibu Tawala Mkoa wa Kagera siku 5 atoe taarifa ya matumizi ya milioni 120 katika Hospitali ya Mkoa.
Amesema "Kulikuwa na fedha za UKIMWI sh. Milioni 80 ambapo kila mtumishi alipaswa kupata sh. 200,000/- lakini ninyi mmewapa sh. 80,000 /-. RAS fedha hizi zimeenda wapi? Nataka uniletee taarifa ofisini kwangu Dar es Salaam ifikapo tarehe 20 mwezi huu,"
0 comments:
Chapisha Maoni