Jumanne, Machi 01, 2016

WAVUTAJI WA SIGARA WACHUKUA TAHARI KUPOTEZA MENO MAPEMA

Taasisi moja ya Ujerumani imesema, wavutaji wa sigara wataweza kupoteza meno mapema kuliko wasiovuta sigara. Lakini kama wavutaji wataacha uvutaji huo, hatari ya kupoteza meno itapungua.
Utafiti huo ulichunguza watu zaidi ya elfu 23, hatari ya kupoteza meno ya wavutaji wa sigaraa wa kiume ni mara 3.6 ya wasiovuta sigara, na hatari hiyo ya wavutaji wa sigara wa kike ni mara 2.5 ya wale wasiovuta sigara. Wanaovuta sigara 15 kila siku wanakabiliwa na hatari kubwa zaidi.
Watafiti wanasema, uvutaji wa sigara huenda utaleta magonjwa ya meno, na kusababisha kupoteza mapema kwa meno.

0 comments:

Chapisha Maoni