Jumanne, Machi 15, 2016

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA WASANII

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, katikati akiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa Filamu Nchini Single Mtambalike (RICHIE) na Elizabeth Michael (LULU) na Wasanii wengine baada ya kupokea Tunzo za wasanii hao walizoshinda Nchini Nigeria, hafla hiyo iliyofanyika jana March 14,2016 Oysterbay Dar es salaam.

0 comments:

Chapisha Maoni