Madereva wa magari ya teksi nchini Misri walifanya maandamano siku ya Jumamosi katika mji wa Giza dhidi ya kampuni mpya inayotoa huduma ya pamoja ya teksi-Uber. Madereva hao wa teksi za kawaida walitoa wito kwa serikali kupiga marufuku teksi hizo za Uber wakisema kuwa zimewaharibia biashara.
0 comments:
Chapisha Maoni