Ijumaa, Februari 19, 2016

SIMBA 6 WAMETOROKA HIFADHINI NAIROBI KENYA

Shirika la kuhudumia wanyama pori nchini Kenya KWS linasema zaidi ya simba sita wametoroka kutoka hifadi ya Nairobi na inahofiwa wanarandaranda kwenye eneo la makaazi la Lang’ata lililoko karibu.
Afisa wa mawasiliano wa KWS Paul Udoto anasema bado hawajabaini kama hiyo ndio idadi kamili ya simba waliotoroka na wanatoa wito kwa wakaazi kuripoti iwapo watawaona. 

0 comments:

Chapisha Maoni