Jumatatu, Februari 22, 2016

SASA NI MEYA WA KINONDONI VS DC MAKONDA

Meya wa manispaa ya kinondoni Bonface amemwonya DC Makonda kwa tabia yake ya kuingilia kazi za halimashauri.
Meya huyo wa Chadema chini ya mwamvuli wa Ukawa,Amesema DC makonda amekuwa akifanya kazi asizostahili kuzifanya ili tu apate sifa.Na kuzoa zoa vyombo vya habari
Amemuasa awe kama wenzake waliomtangulia akitolea mfano wa Lukuvi,Makamba n.k amesema hawa ni watu waliyajuwa majuku yao na mipaka yao ya U DC

0 comments:

Chapisha Maoni