Msanii Lady Jaydee kutoka Tanzania hatimaye amepewa idhini na mahakama kumtaliki mume wake kisheria.
Lady Jaydee aliwasilisha kesi ya talaka dhidi ya mumewe ambaye pia alikuwa maneja wake Gardner G. Habash mwaka wa 2014.
Amelalamika kwamba ndoa yao ya miaka 9 iligubikwa na udaganyifu na ulevi, na ndio sababu yake ya kumtaliki mumewe.
0 comments:
Chapisha Maoni