Kura zinaendelea kuhesabiwa katika maeneo mengi nchini Uganda baada ya uchaguzi katika vituo vya kupiga kura kumalizika.Zaidi ya watu millioni 15.2 walitarajiwa kupiga kura.
Mkumbo wa kwanza wa uchaguzi huo unaonyesha Rais wa Uganda Yoweri Museveni akiongoza na kura 1,362,961 (61.75%) huku akifuatwa kwa umbali na Dkt Kizza Besigye akiwa na asilimia 33.47% (738,628) hii ikiwa ni matokeo ya vituo 6,448 kati ya 28,010.
0 comments:
Chapisha Maoni