Hii ndio ndege kubwa zaidi duniani na utenegezaji wake uko karibu kukamilika.
Ina urefu wa mita 93 na mkia wake una upana wa mita 9.
Ndege hii kwa jina 'Flying Bum', ni ya Marekani na mwanzoni ilikuwa imepangiwa kuwa ya kijeshi lakini sasa itatumika kwa ziara za kitalii na pia kibiashara.
0 comments:
Chapisha Maoni