Katika kupambana na uhalifu, Jeshi la Polisi limesema mtu yeyote atakayehitaji kusindikizwa na polisi kwenda kuchukua fedha nyingi benki, anaruhusiwa kwa kulipia Sh 10,000 au Sh 20,000, ambapo atasindikizwa na askari mwenye siraha.
Pia Jeshi la Polisi linashauri raia wote kuepuka kutumia usafiri wa bodaboda pindi wanapokuwa na kiasi kikubwa cha fedha ili kuwaepuka wahalifu.
0 comments:
Chapisha Maoni