Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi akikagua mafaili ya hati za ardhi za wananchi yanayodaiwa kukaa kwenye shelvu kwa zaidi ya miaka mitatu pasipo kufikishwa kwa wahusika alipokuwa kwenye ziara ya kikazi katika Wilaya ya Kibaha jana .Anayempa maelezo ni Afisa Ardhi Mteule, Majaliwa Jaffari.
0 comments:
Chapisha Maoni