Jumatatu, Januari 18, 2016

LOWASSA AWAPA SOMO MAMEYA WA ILALA NA KINONDONI

Aliyekuwa mgombea Urais kwa mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa amesema kuwa Mameya na Wabunge waliochini ya vyama vya UKAWA wakishindwa kuwajibika ipasavyo watafukuzwa
Amesema kuwa Wabunge na Mameya wanapaswa kufanya kazi kwa bidii ili wananchi waone tofauti kati yao na wale wa CCM

0 comments:

Chapisha Maoni