Taarifa iliyoripotiwa hapa FICHUO ni kwamba majengo mawili huko Visiwani Zanzibar katika eneo la Kiponda yameungua kwa moto, ni tukio lililotokea usiku wa kuamkia leo. Eneo hili lina shule, Makao ya waislam madhehebu ya shia na pamoja na hoteli. Hapa kuna video ya tukio tuliyoitoa kwa wenzetu wa Jamii Forums. Karibu uitanzame hapa
0 comments:
Chapisha Maoni