Uchina yazindua ndege ndogo aina ya drone maarufu kama "Ehang 184, yenye uwezo wa kubeba abiria mmoja mwenye uzani wa kilo 100 na kusafiri kwa mfululizo wa dakika 23 bila kusimama kwa mwendo wa kilomita 100 kwa saa.
Ndege hii itatimiza ndoto ya wasafiri wa masafa mafupi. Msafiri anapopanda kwenye ndege hii ya Ehang 184, atahitajika kubonyeza kidude cha kuruka angani na kutua.
Ndege hii haitaji uwanja wa kutua.
0 comments:
Chapisha Maoni