Watu 79 wamekamatwa na Idara ya Uhamiaji nchini kwa kosa la kuishi nchini bila vibali na kufanya kazi wasizo na taaluma nazo.
Naibu Kamishna wa Uhamiaji mkoa wa Dar es Salaam, John Msumule amesema watuhumiwa hao wanatoka katika nchi 15 huku wengi wao wakitokea China na Ethiopia.
0 comments:
Chapisha Maoni