Ijumaa, Januari 02, 2015

WANUSURIKA KIFO BAADA YA KUDONDOKEWA NA JENGO

Watu watatu wamenusurika kifo baada ya jengo moja la Mji Mkongwe Zanzibar kuporomoka wakiwa ndani.
Jengo hilo la ghorofa mbili lililoko Mkunazini Zanzibar, li li anguka asubuhi wakati waka zi wake watatu wakiwa wamelala ndani ambapo dari la ghorofa ya pili ilianguka na kuharibu vifaa mbalimbali
Kikosi cha Zimamoto na uokoaji kilikwenda n a kuondoa kifusi ili kumuokoa kijana mmoja ali yefunikwa akiwa hai na kumpeleka hospitali kutokana na maumivu ya kiuno na miguu.

0 comments:

Chapisha Maoni