Wakuliama na wafanyabiashara wa Manispaa ya Iringa Mkoani IRinga
wamekumbushwa kuzalisha mazao ya chakula na biashara ikiwemo mahindi
ili kukuza uchumi wa taifa.
Afisa Biashara wa Manispaa ya Iringa Mkoa wa Iringa, Bw. Kassim Majaliwa amesema wakulima wanatakiwa kulima zao la mahindi licha ya soko lake kushuka ili kuongeza chakula na kupunguza ukali wa maisha.
Bw. Majaliwa amewashauri wakulima na wafanyabiashara kuunda vikundi vya kutembelea masoko ya biashara ili kujifunza za uuzaji wa zao hilo hali itakayoongeza kipato cha familia na taifa kwa ujumla.
Hata hivyo, afisa biashara huyo wa Manispaa ya Iringa amesema kwa sasa uzalishaji wa zao la mahindi umeongezeka kutokana na wakulima kutambua umuhimu wa zao hilo katika jamii.

0 comments:
Chapisha Maoni