Madansa wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinum wamekamatwa leo na wapo
Kituo cha polisi cha Oyster Bay, Dar kwa kuvaa sare za JWTZ.
Wakati
huohuo polisi wanaendelea kumtafuta bosi wao, Nasibu Abudul ' Diamond
Platinumz' kwa mahojiano naye kwa kuvaa sare za Jeshi hilo katika
Tamasha la Serengeti Fiesta, lililofanyika Leaders Club, Dar usiku wa
kuamkia Jumapili iliyopita.
Meneja wa Diamond, Babu Tale, hakupatikana kuzungumzia suala hili, juhudi za kumtafuta zinaendelea.
0 comments:
Chapisha Maoni