Jumatatu, Septemba 08, 2014

PICHA 6 ZA AJALI YA AIR BUS ILIYOUA 46 LEO


Inakadiriwa kuwa kiasi cha watu 46 wamefariki dunia mchana wa leo katika ajali ya basi la kampuni ya Airbus lililokuwa likitoka Dar es Salaam kuelekea Tabora baada ya limepindukia bondeni katika maeneo ya maeneo ya Kiegeya. Gairo.
Kwa taarifa zilizoifikia Fichuo Tz mpaka sasa ni kwamba Viongozi Mbali mbali wa Serikali na raia wamefika katika eneo la tukio kwaajili ya kutoa msaada ambapo imeripotiwa kuwa majeruhi ni wengi, tutaendelea kukupatia habari kuhusiana na hili.

0 comments:

Chapisha Maoni