Show ya Khanga Moko laki si Pesa. |
Hii ni sehemu za baadhi ya picha zilizoonesha nini kilichofanyika katika ukumbi wa Theophilo Kisanji Tabora ikiwa ni moja ya Show zilizoambatana na Shindano la kumsaka Miss & Mr.Kamna 2013
Umati mkubwa uliofulika katika ukumbi huo wakishangazwa na Show ya Khanga Moko laki si Pesa. |
0 comments:
Chapisha Maoni