Jumapili, Septemba 07, 2014

MECHI YA LEO YA YANGA NA BIG BULLETS YA MALAWI YAFUTWA!!!

Wapenzi, wanachama, washabiki na wadau wa soka kwa ujumla, Mechi kati ya Young Africans dhidi ya Big Bullets iliyokua ifanyike leo haitakuwepo.
Kwa mujibu wa waandaji wa mchezo huo DRFA timu ya Big Bullets imeshindwa kuwasili nchini, na jitihada za kupata timu nyingine imeshindikana.

0 comments:

Chapisha Maoni