Wezi wa njia ya mtandao maarufu kwa jina la kigeni ‘Hackers’ wameweza kuingia na kutumia akaunti ya barua pepe ya muongozaji mkongwe wa video nchini, Adam Juma.
Hackers hao wametuma barua pepe kwa kutumia akaunti hiyo wakiomba pesa kwa watu wanaowasiliana na Adam Juma.
Kupitia Instagram, muongozaji huyo wa video ameonesha kusikitishwa na kitendo hicho huku wakiwatahadharisha watu kutoamini ujumbe huo.

Daaaah kuna mtu kahack account ya email, ukiona ujumbe unaomba hela ujue sio mimi! Very sad aiseee.
Ameandika Adam Juma.
0 comments:
Chapisha Maoni