Ijumaa, Agosti 22, 2014

ALICHOKISEMA LUIS FIGO BAADA YA KUTUA BONGO

Ikiwa ni mara yake ya kwanza kufika Tanzania, mchezaji wa zamani wa Real Madrid ameelezea furaha yake wazi wazi kwa kusema:
Ni mara yangu ya kwanza kuja Tanzania, nimekwishatembea nchi kadhaa Afrika, nimefurahi kuja hapa, naipenda Afrika. Natarajia mchezo mzuri kesho, hata kwa wapinzani wetu pia, kitu muhimu ni kwamba FIFA imefurahia tukio hili
Mechi ni kesho uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwa kiingilio cha Tsh. 5,000 tu

0 comments:

Chapisha Maoni