Abiria kadhaa waliokufa katika ndege iliyoanguka ya Malaysia, walikuwa
wakielekea katika mkutano mkubwa wa kimataifa kuhusu UKIMWI. Watu hao ni
pamoja na Profesa Joep Lange, mtafiti maarufu na rais wa zamani wa
Jumuiya ya Kimataifa ya UKIMWI (IAS).
IAS imesema imepoteza itakuwa imepoteza "mtu mzito."
Wajumbe ambao tayari wamewasili kwenye mkutano huo nchini Australia wamesema "wameshtuka sana".
Zaidi ya wanasayansi 14,000 wanaharakati na wanasiasa wanakutana katika mkutano wa UKIMWI 2014, unaotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki hii mjini Melbourne.

0 comments:
Chapisha Maoni