Kuna ishu kubwa sana Professor Jay ameifichua leo baada ya kutembelea Chama cha HAKI MILIKI TANZANIA(COSOTA) Na kuwauliza
ni kwa nini RADIO na vituo vya TV za TANZANIA haziwalipi Wasanii wakati
nchi karibu zote mpaka jirani zetu wa
KENYA wanawalipa Wasanii wao wakichezwa kwenye vituo hivyo... Mwenyewe kwa maneno yake amedai kuwa majibu
aliyoyapata bado hayajamridhisha kabisa... Je wewe una SWALI Au MAONI gani kuhusu hii ishu na kwa
COSOTA kiujumla? FICHUO BLOG!
0 comments:
Chapisha Maoni