Staa wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa kwa sasa
amejikita katika kupiga kazi za nje ya Kampuni ya Kanumba The Great
Film hivyo asiulizwe kuhusu kampuni hiyo aliyofanya nayo kazi kwa muda
mrefu.
Akichonga na mwanahabari wetu, Maya alitiririka kuwa ameamua
kuiweka kando kampuni hiyo na kujikita katika kazi za nje na ikiwezekana
asimame mwenyewe.
Nipo nje ya kampuni kwa sasa, kampuni inaongozwa na mama Kanumba (Flora Mtegoa) mwenyewe, nafanya kazi na watu tofautitofauti ili baadaye nisimame mwenyewe
alisema Maya.
0 comments:
Chapisha Maoni