2. WAUMINI (Members): Kila wiki wapo/wanakuja Kanisani, Wanakuja Zone
lakini Hawatembei katika Utakatifu, na Hawazai Matunda (Hawaleti watu
kwa YESU).
3. WAFUASI (Followers):
Wanafanyakazi pamoja na Mchungaji, Wanafanya kila kitu, ni Wainjilisti
wa Ukweli, Hawa wako tayari kuzaa Matunda. Hawa ndio waletao Watu kwa
YESU, Wanapokea Chakula toka kwa YESU halafu wanalisha Wadogo wadogo,
Hawa ndio wanaozaa Matunda. Hawa Wafuasi ndio wanaofanya Kazi vizuri.
Wanaweza Kuhuishwa Wakihuishwa, Wanaweza kuvunja Ukuta na kuingia kwenye
Kiwango cha Maongezeko, Wanaweza kuwasaidia Wenzao kuvunja Ukuta.
0 comments:
Chapisha Maoni