Jumanne, Julai 08, 2014

BINTI AKUTWA AMELALA NDANI YA KABATI LA CHIPS DAR

Dada akutwa kalala kwenye kabati ya chips maeneo ya Yombo Vituka leo asubuhi. Muuza chips alifunga kabati na kufunga eneo lake la biashara kwa kufuli kisha akaenda kulala. Asubuhi alipofungua ndipo akamkuta mwanadada amelala juu ya chips na mishkaki akiwa hajitambui. Bado haijajulikana aliingiaje maana hakuweza kuongea baada ya kutolewa.!

0 comments:

Chapisha Maoni