Mtu mmoja mkazi wa Ubungo jijini Dar es salaam
ambaye jina lake halikufamahika mara moja amekutwa amekufa katika eneo
la ufukwe wa bahari hindi posta na kusababisha taharuki kwa wapita njia
huku jeshi la polisi likitaarifa juu ya tukio hilo na kufika eneo la
tukio na kuchukua mwili wa marehemu na kuupeleka hospitali ya taifa ya
Muhimbili.
0 comments:
Chapisha Maoni